Msaada wa Uhasibu wa Wafanyabiashara
Wasiliana nasi
Ongeza mapato
Rekodi mapato kutoka vyanzo kama riba ya benki, uwekezaji kwenye hisa, kodi ya nyumba au duka na vyanzo vingine kama hivyo.
Kurekodi mapato ni sawa na kurekodi gharama. Tafadhali angalia mwongozo wa
Ongeza gharama
kwa maelekezo.
Inayofuata:
Ripoti za uhasibu