Msaada wa Uhasibu wa Wafanyabiashara

Tafadhali hakikisha umesoma vipengele 1, 2 na 3
  1. Ongeza mtu mpya (wateja na wasambazaji): Hatua ya kwanza ni kuwaongeza washirika wako wa biashara na kuingiza salio lao la kuanzia kwenye programu.
  2. Ongeza bidhaa na huduma: Tazama stoo na uongeze bidhaa na huduma.
  3. Taarifa za akaunti za watu (wateja na wasambazaji): Salio, kutoa ankara, mapokezi na malipo, punguzo, kuhariri miamala na zaidi
  4. Malipo kwa uhamisho wa benki au kadi: Kupokea malipo kutoka kwa mtu kwa uhamisho wa benki au kadi.
  5. Kutoa ankara: Kutoa ankara za manunuzi, mauzo na marejesho.
  6. Kushiriki taarifa za akaunti za watu: Kutoa na kutuma miamala ya mtu kupitia WhatsApp, Telegram, barua pepe n.k.
  7. Kupiga simu kwa wadaiwa: Kuangalia salio za watu na kuwapigia simu.
  8. Kutuma SMS za madeni: Kuangalia salio za watu na kuwatumia salio lao kwa SMS.
  9. Ongeza gharama: Kurekodi gharama mpya na kuona ripoti.
  10. Ongeza mapato: Kurekodi mapato mapya na kuona ripoti.
  11. Ripoti za uhasibu: Ripoti mbalimbali za fedha na uhasibu.
  12. Nakala rudufu: Kutengeneza nakala rudufu ya data za fedha.