Kupiga simu kwa wadaiwa

  1. Gusa kitufe cha «Piga simu/Tuma SMS».
    • Utaona orodha ya watu pamoja na salio zao. Watu wenye deni lako huonekana juu ya orodha, na watu ambao wewe una deni lao huonekana chini.
  2. Gusa mtu unayemtaka.
  3. Gusa kitufe cha «Piga simu».
piga simu kwa wadaiwa