Kushiriki taarifa ya akaunti ya mtu, kwanza fungua taarifa ya akaunti yake.
Vipi? Kisha fuata hatua hizi:
- Gusa kitufe cha kushiriki
kisha chagua aina ya faili unayotaka.
- Shiriki faili lililotengenezwa kwa programu unayopendelea. Ikiwa PrinterShare au programu kama hiyo imesakinishwa kwenye kifaa chako, unaweza pia kuchapisha faili la PDF.